TATIZO LA KUKU KUVIMBA MACHO
Kumekuwepo na tatizo la kukalilishana hasa kwa wafugaji nk.
Kuwa kuku akivimba macho tu, ni ndui. Kuna magonjwa mengi ambayo kumfanya kuku
avimbe macho ikiwa ni pamoja na ndui yenyewe, upungufu wa vitamin A, mafua nk.
Katika kutambua magonjwa sio vizuri kuangalia dalili moja tu kila ugonjwa una
dalili zake hata kama kuna zinazofanana kama vile kukosa hamu ya kula, kukosa
nguvu,nk lakini lazma zitatofautina hata katika mazingira, historia na source.
Pia hata uvimbaji macho na vidonda vinatofautiana kwa magonjwa, mfano uvimbaji
macho wan dui ni tofauti na vitamin A nk.
Muhim, wafugaji wenzangu tusipende kukurupuka na kutoa
maamuzi kwa tusiyoyajua make mwisho wa siku tutakuja kuuona ufugaji mgum kwa kupata
hasara make tutatumia madawa ya gharama kwa kutibia ugonjwa ambao sio na mwisho
wa siku tutakuwa tumeingia gharama nab ado mifugo yetu tutaipoteza au kuidhuru. (NDUI, VITAMIN A, MAFUA)
Kwa hiyo kila tatizo hapo tunalitatua kwa namna gani?
ReplyDeleteNimeupata ilo tatizo la kuku kuvimba macho nimeona MMOJ na cjui wanaambukizana huu ugonjwa
ReplyDeleteKuku wangu wanaimba macho na kukoroma nisaidieni dawa ya kutumia
ReplyDelete