ELIMU
1.Sio kila kuku akivimba macho ni NDUI?
2.Pamoja na chanjo kuku wako wanweza kupata mdondo?
3.Zaidi ya 80% ya magonjwa ya kuku yanayowasumbua wafugaji
zaidi yanatokana na uchafu?
4. Unaweza kupangilia majogoo na matetea tangu kwenye mayai
na ndo njia bora zaidi?
5. Unaweza kupata vifaranga bure/kwa mkopo na ukatatafutiwa
soko wakati wa mavuno?
6. Anayeuza vifaranga anapata faida zaidi ya anayeuza mayai
na anyeuza mayai anapata faida zaidi ya anayeuzakuku bilakuvuna mayai?
7. Unaweza kufuga kwa mafanikio bila ya kutegemea vyakula
vilivyotengenezwa viwandani?
8. Unajua kwa nini watu wengi hawafugi kuku wa kienyeji kama
mradi na wakati nyama na mayai yao yana soko kuliko kuku wengine hapa nchini?
9. Kuna njia rahisi ya kuwachanja kuku wako na yenye gharama
nafuu kuliko kumuita doctor?
10. Kifaranga ana uwezo wa kukaa masaa 72 bila ya chakula
toka alipototolewa?
11.Sio lazima kuwapa chanjo vifaranga siku ya saba kama
ilivozoeleka......
12.Ni kwa sababu gani ukitengeneza chakula cha kuku wewe
mwenyewe hakukupi matokeo mazuri?
13.Mafua sugu yanawasumbua vifaranga wengi na wazalishaji
wengi kuku wao wazazi wana mafua sugu?
Kwa majibu ya maswali haya na mengine mengi kama haya
usikose ku like na kuwa unafitia mara kwa mara kwenye ukurasa wetu wa facebook
kwa ajili ya kuyapata kiurahisi. Utaupata kwa kupitia
https://www.facebook.com/www.bbp.co.tz/…
KARIBUNI SANA
0 comments:
Post a Comment