Our social:

Friday, October 28, 2016

MASHINE YA KUTOTOLESHEA MAYAI 528

Mashine ya kutotoleshea ya mayai 528
Bei ya ofa badala ya 2600000 tunaiuza kwa 2,000,000/=
Ni full automaticMashine ya kutotoleshea ya mayai 528
Matumizi yake ya umeme ni madogo mno yaani 110V/220V na ni 150W
Tayari imesetiwa ni kwenda kutumia tu
Uwezo wake wa kutotoa ni zaidi ya 98%
Tunakupa warranty ya mwaka 1
Ina mfumo maalum wa kutoa taarifa pindikunapotokea kasoro ili isiharibu mayai
Ina uwezo wa kukaa masaa 8-12 umeme ukikatika bila kuharibu mayai
Unaweza kulipia kidogo kidogo
Na sifa nyingine nyingi nzuri,
Karibu tukuhudumie au tupigie simu 0757818388/0715311327

0 comments:

Post a Comment