NJIA RAHISI YA KUJIPATIA INCUBATOR
kutokana na gharama za kutotolesha na kutokuwa na uwezo wa
kununua mashine zao. BBP FARM tunawajali watanzania wote, fika ofisini kwetu
tuongee tujue tunasaidianaje? Kuna machaguo mengi tutajadililiana mpaka upate
utakaloweza kama;
1. Kukopeshwa incubator
2. Kulipa kidogo kidogo kidogo/ kuwekeza/ kubandika
3. Kulipia cash (bei zetu ni ndogo mno)
4. Kukuagizia wakati tunaagiza mzigo wetu.
Wasiliana nasi kwa kuja ofisini Temeke wailes Dar es salaam
Tupigie simu kwa 0757818388, whatsap 0763551554,
0 comments:
Post a Comment