MAFUNZO YA ULEAJI VIFARANGA
Haijalishi vifaranga utanunua kwa nani, BBP FARM kila siku
ya Jumamosi kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa tisa mchana tutakuwa na darasa
la kulea vifaranga kuanzia maandalizi kabla hujapokea mpaka ukishapokea jinsi
ya kuenda nao bila vifo visivyokuwa vya lazima.
Mafunzo haya ni bure kabisaa hakuna gharama ya kiingilio.
Toa taarifa kwa namba 0757818388. Mafunzo yatafanyikia ofisini kwetu Temeke
Wailes, Block no 21, Nyumba ya 6 kama unaelekea uwanja wa taifa tokea shule ya
sekondari Mibulani.
Karibuni tufuge kwa pamoja na kwa mafanikio.
0 comments:
Post a Comment