Our social:

Latest Post

Friday, December 16, 2016

ANSWERS YOU NEED TO KNOW IN CHICKENS FARMING

How many chickens in a layer cage?
Depends on the size of the bay – Maximum 5 chickens in a smaller bay – 7 chickens in a larger bay.
How many chickens in a nest box?
8 chickens per nest box bay.
How many eggs does a hen lay?
Average of 5 per week – can go as much as 7 eggs per week with proper care and feeding.
How many chickens in a breeder house?
7- 8 chickens per square meter.
How many chickens in a layer house?
Depends whether you are using layer cages or nest boxes.
How many chickens in a broiler house?
12 – 22 chickens per sqm
How many chickens in a free range chicken house?
Inside the chicken house – 10 for broilers, 6 for layering hens. Outside – 5 chickens per sqm
How many chickens in an organic chicken house?
Inside the chicken house – 10 for broilers, 6 for layering hens. Outside – 4 chickens per sqm
How chickens per bell drinker?
75 – 100 chickens.
How many chickens per tube feeder?
33 chickens per feeder.
How many chickens per nipple?
12 – 14 chickens per nipple.
How many chickens per trough on a chain feeder?
2.5cm per broiler along the length of the trough.
How many chicken per chicken fount?
100 chickens per water fount.
How long does a broiler take to grow?
Depends on the weight you want and what type of farming – organic chickens 12 weeks, free range chickens 11 weeks, intensive chicken farming between 4 and 6 weeks.
How many chickens per gas brooder?

Depends on the size of your brooder. – Gasoec G12 gas brooder – 2500 – 3000 broilers, M8 Gasolec gas heater 1000 – 1200 chickens. Note that if you have a drafty house it will affect these figures.

UKITAKA KUANZISHA MRADI WA KUKU ZINGATIA HAYA;


Image result for BEST CHICKENS1. Malengo yako, je unahitaji wakue uwauze tu? unahitaji kupata mayai na vifaranga kwa biashara? Iko hivi, kuku mzuri sana kwa nyma sio mzuri sana katika utagaji na huo ni ukweli usiopingiga. Ukiona mtu anakuambia anavyote at best level achana naye anakudanganya, Na si kwamba akiwa na nyama hatagi no, sema utagaji wake sio mzuri kama wa wale wadogo wadogo na kinyume chake.
2. Uwezo wako, nayo ni point ya msingi kwani usijeukafuga wengi usioweza kuwatunza, nakushauri umpate mtaalam akuandalie bajet ili ujipime kulingana na uwezo wako, ukikurupuka mara nyingi utaishia kujilaum.
3. Usimamizi wa mradi, lazma ujue huo mradi atausimamia nani, wewe mwenyewe au mtu mwingine kwa niaba yajo. Inabidi ufanye maandalizi ili uweke mpangilio utakaokupa wasaa mzuri wa kutekeleza majukum yako kama utasimamia mwenyewe, ikiwa ni pamoja na kutafuta utaalam kwanza kabla hujaingiza vifaranga. Kama utamtumia mtu lazma naye umtafutie utaalam ili awe na walau basic knowledge kwa ajili ya kulea mradi. ukibeba beba tu mtu na kumpa afanye unaweza kulia ndani ya wiki wakafa wote.
4. Mazingira utakayofugia, hapa zingatia usalama wa kuibiwa, wadudu, wanyama, magonjwa ya kuenezwa, muingiliano nk.

5. Soko linataka nini, fuga kitu kitakupa uhakika wa biashara lakini epuka kabisa biashara za msimu/ biashara za kuzuka. Ukijiingiza kwenye biashara hizo mara nyingi huwa zinakuwa na ukomo/ kuisha fasheni. ukiingia kwenye kufuga kwa fasheni maana yake unaweza ingiza gharama zako na saa ya kuvuna ukajikuta soko la bidha zako lishaisha au kuwa dogo..